Na Kamisi Mussa
Mwenyekiti TUGHE Tawi la Muhimbili. Mziwanda Chimwege akitekeleza wajibu wake Ofisini kwake Desemba 18, 2021 na kupanga mikakati ya Kilele Siku ya Wanawake Duniani ambapo kila mwaka hufanyika Machi 8.
Chimwege anawaomba wadau wote kujitokeza kwa wingi na tukizingatia tupo na mama yetu na Rais Samia hivyo kwa mara ya kwanza siku siku ya Wanawake Duniani tuniadhimisha tukiwa na Rais Mama Samia hivyo anawaomba kujitokeza kwa wingi zaidi wanawake ili kufanikisha sherehe hiyo.
Mwisho Napenda kuzidi kumpongeza Mkurugenzi Mtendaji Prof. Lawrence Museru kwa kutupa ushirikiano wake na ninawaomba Waajiri wote kuiga mfano nakuwaruhusu wafanyakazi wao na nichukue fulsa hii kuwaomba Waajiri wote kushiriki katika kusherehekea siku hiyo na mwisho japo si kwa umuhimu naomba kutoa rai tuanze maandalizi mapema ya Sherehe hiyo.
Maazimisho ya siku ya wanawake Duniani ambayo huazimishwa marchi 8 kila mwaka Huwa inakumbwa na changamoto ya washiriki kuwa wachache kutoka kwenye Taaisi binafsi yalipo Matawi ya TUGHE
ReplyDeleteKwa sababu Matawi ya TUGHE yamekuwa Tegemezi kwa waajiri hivyo kwa mfumo huo idadi ya washiriki mwajiri ndo muamuzi maana ndiyo mtoaji wa pesa.
TUGHE kwasasa inabidi ibadili mfumo wa uendeshaji chama ili kuondokana na mfumo Tegemezi kwa waajiri ndipo tutasonga mbele zaidi .
Pia hata ukiangalia washiriki wa siku ya wanawake Duniani ambayo huazimishwa marchi 8 kila mwaka wanaoshiriki ni wale ambao wamekaeibia kustafu ajira vijana ni wachache sana .
It's me Ernest juma
TUGHE chairman-Akhst