Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja ameelezea mchakato wa mawasiliano na nchi ambako vinyonga vilipelekwa isivyo halali ili warejeshwe nchini. Naibu Waziri Masanja amebainisha hilo, alipokuwa akiuzungumza katika mkutano na wandishi wa habari jijini Dodoma Novemba 30, 2021, kuelezea sekta ya maliasili na utalii ilikotoka, ilipo na inakoelekea pamoja na changamoto na mafanikio kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Zamaradi Kawawa (kushoto), akiwa pamoja na maafisa wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakati wa mkutano huo.
Wanahabari wakisikiliza wakati Naibu Waziri wa Maliasili na nUtalii, Masanja akizungumza.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Zamaradi Kawawa, akihitimisha mkutano huo aliouongoza.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Zamaradi Kawawa akipongezana na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Marz Masanja baada ya mkutano kumalizika.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja akiondoka huku akisindikizwa na Zamaradi Kawawa baada ya mkutano kumalizika.
PICHA ZOZE RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Naibu Waziri Masanja akielezea mchakato wa vinyonga kurejeshwa nchini...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇