LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 17, 2021

NAIBU WAZIRI WA NISHATI MBAGALA, DAR ES SALAAM

 


Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato akipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Kituo cha Kusambaza Umeme cha Mbagala, Mhandisi Neema Ngogo, wakati wa ziara ya kutembelea kituo hicho Jijini DSM

Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato(kulia) akitoa maelekezo kwa Uongozi wa Shirika la Umeme( TANESCO), Wilaya ya Mbagala pamoja na wasimamizi wa Kituo cha Kusambaza Umeme cha Mbagala,  wakati wa ziara ya kutembelea kituo hicho Jijini Dar es salaam

Msimamizi wa Kituo cha Kusambaza Umeme cha Mbagala, Mhandisi Neema Ngogo( wa pili kulia) , akimuonyesha Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato( wa pili kushoto) namna ambavyo umeme unapokelewa, kupozwa na kusambazwa  kituoni hapo, wakati wa ziara ya kutembelea kituo hicho Jijini Dar es salaam

Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato (kulia) akizungumza na Uongozi wa Shirika la Umeme (TANESCO), Wilaya ya Mbagala pamoja na wasimamizi wa kituo cha kusambaza Umeme cha Mbagala, baada ya kumaliza ziara ya kutembelea Kituo hicho, Jijini Dar es salaam,

………………………………………………..

Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato, ametembelea Kituo cha Kusambaza Umeme cha Mbagala Jijini Dar es Salaam ili kuona ufanyaji kazi wake kwa sasa.

Wakili Byabato amefanya ziara hiyo Desemba 16, 2021 akiambatana na Uongozi wa Shirika la Umeme Wilaya ya Mbagala.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages