LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 9, 2021

WIZARA YA NISHATI YAELEZEA CHANGAMOTO YA KUKATIKA UMEME MARA KWA MARA NA UFUMBUZI WAKE+video

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felichesm Mramba akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba katika mkutano na waandishi wa habari  jijini Dodoma Novemba 9, 2021,  .kuelezea mafanikio, changamoto na muelekeo katika sekta ya Nishati kuelekea  maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

Aidha, Mhandisi Mramba ameelezea changamoto iliyopo ya kukatika umeme mara kwa mara ambapo ametaja mambo yanayosababisha na ufumbuzi wake.
Waandishi wa habari wakisikiliza kwa makini wakati Mhandisi Mramba  akizungumza katika mkutano huo unaoratibiwa na Idara ya Habari Maelezo.






PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


 
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, ujue alichozungumza Mhandisi Mramba kuhusu tatizo hilo na sekta ya nishati na jinsi walivyotekeleza Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi....

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages