LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 9, 2021

HUDUMA YA KUSAFISHA DAMU KUANZA KUPATIKANA KATIKA HOSPITALI ZA RUFAA ZA MIKOA+video

Mkurugenzi Idara ya Tiba wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.Vivian Wananji akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma Novemba 9,2021,  kuhusu upatikanaji wa huduma za kusafisha damu (DIALYSIS) katika Hospitali za Rufaa za mikoa nchini. Kulia ni  Dkt Colorine  Damian Mkurugenzi Msaidizi  Hospitali za Rufaa za Mikoa.



 Mkurugenzi Idara ya Tiba wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.Vivian Wananji (katikati) akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma Novemba 9,2021,  kuhusu kuanza kwa  upatikanaji wa huduma za kusafisha damu (DIALYSIS) katika Hospitali za Rufaa za mikoa nchini. Kulia ni  Dkt Colorine  Damian Mkurugenzi Msaidizi  Hospitali za Rufaa za Mikoa na Mkurugenzi  Msaidizi Magonjwa  yasiyoambukiza, Dkt, James Kihologwe.


Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Wananji akielezea kiundani jinsi huduma hiyo itakavyokuwa inapatikana..... 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA, 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages