LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 28, 2021

WAZIRI MKENDA: MBOLEA YA KUTOSHA IPO, CHANGAMOTO NI BEI KUBWA+video


Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma Novemba 28, 2021, kuelezea tulikotoka, tulipo na tunakoelekea pamoja na changamoto na mafanikio ya sekta ya kilimo kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.


Pamoja na mambo mengine, Waziri Mkenda katika mkutano huo amebainisha kuwa mbolea ya kutosha ipo, kasoro ni ukubwa wa bei.










 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Mkenda akielezea juu ya suala hilo na mengineo....


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages