LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 19, 2021

TARURA YAFANIKISHA UJENZI WA DARAJA LINALOUNGANISHA KATA YA BWASI NA BULINGA MUSOMA VIJIJINI+video



WANAVIJIJI wanafurahia ujenzi wa DARAJA kwenye MTO NYAMWIFI. Daraja hili linaunganisha KATA mbili za BWASI na BULINGA, na sasa magari ya abiria na mizigo yanaenda hadi kwenye Kata hizo  zilizoko kwenye mwambao wa Ziwa Victoria.


CLIP iliyoambatanishwa hapa inatupatia maelezo ya WANAVIJIJI na MENEJA wa TARURA  kuhusu MRADI huo uliogharimu TSH MILIONI 300.


Taarifa kutoka:

*Ofisi ya TARURA

Musoma DC


*Ofisi ya Mbunge

Jimbo la Musoma Vijijini


www.musomavijijini.or.tz

Ijumaa, 19.11.2021

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages