LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 3, 2021

RAIS WA ZANZIBAR DK. MWINYI AMEWEKA JIWE LAMSINGI UJENZI WA L''OASIS BEACH RESORT PROJECT PLAN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi  akizindua uwekaji jiwe la msingi Ujenzi wa Mradi wa Hoteli ya L'oasis Beach Resort Project Plan, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya mwaka Mmoja wa Uongozi wa Rais, katika Kijiji cha Kizimkazi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja, leo. Anayemsaidia kuzindua ni Mkurugenzi wa Mradi huo Ahmed Saber  na kulia ni Mama  Marium Mwinyi na Wapili kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji Mudrik Ramadhan Soraga. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages