LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 25, 2021

RAIS SAMIA ASISITIZA BENKI KUPUNGUZA RIBA ZA MIKOPO SEKTA BINAFSI+video


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa 20 wa Taasisi za Kifedha Nchini wenye lengo la kupitia na kutatua changamoto mbalimbali katika sekta hiyo. Mkutano huo umefunguliwa leo tarehe 25 Novemba, 2021 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma. Amesisitiza Taasisi hizo za kifedha kuendelea kupunguza riba ya mikopo kwa sekta binafsi ili kukuza uchumi wa nchi...


 w

Sehemz ya washiriki kutoka Taasisi mbalimbali za fedha wakiwaa katika mkutano huo.





 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Rais Samia pamoja na mambo mengine katika hotuba yake akisisitiza Benki kuendelea kupunguza riba
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
 Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages