Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwa na mgeni wake Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 27 Novemba 2021 kuanza ziara ya Kitaifa ya siku tatu hapa nchini.
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda akikagua gwaride baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 27 Novemba 2021 kuanza ziara ya Kitaifa ya siku tatu hapa nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akizungumza na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 27 Novemba 2021 kuanza ziara ya Kitaifa ya siku tatu hapa nchini.(Picha zote na Ikulu)
Nov 27, 2021
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇