LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 29, 2021

RAIS DK. MWINYI AFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE WA TAASISI YA WAKAGUZI WA NDANI, JIJINI ZANZIBAR, LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, akipokea Kitabu cha  Muongozo wa Kimataifa kwa Waguzi wa Ndani kutoka kwa Rais wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIAT) Zelia Njeza, baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi hiyo, Ikulu Jijini Zanzibar, leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIAT) ukiongozwa na Rais wa Taasisi hiyo Zelia Njeza, Ikulu Jijini Zanzibar, leo, katika mazungumzo hayo IIAT walimpongeza Rais kwa kutimiza mwaka mmoja katika Uongozi wake. (Picha na Ikulu, Zanzibar)

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages