LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 11, 2021

MBUNGE SWALE:ZITUNGWE SHERIA,KANUNI YA KUWAWEZESHA WANANCHI SI KUZUIA+video


 MBUNGE wa Lupembe, mkoani Njombe, Edwin Swale amechangia hoja bungeni kwa kushauri kutunga sheria na kanuni zinazofuata uhalisia wa maisha ya wananchi kwa kuwawezesha si kuzuia.
Amechangia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo kuhusu Uchambuzi wa Sheria Ndogo zilizowasilishwa katika mkutano wa Tatu na wa Nne wa Bunge pamoja na Kanuni ya Uvuvi ya Mwaka 2009, bungeni Dodoma leo Novemba 10,2021. Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Swale akichangia na mambo mengine pia..
..IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages