LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 8, 2021

MASHINDANO CRDB BANK TAIFA CUP YAZIDI KURINDIMA DODOMA

Mchezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya Mkoa wa Mtwara akiambaa na mpira  mbele ya mchezaji wa timu ya Unguja kutoka Zanzibar katika mashindano za Taifa ya CRDB BANK Taifa Cup kwenye viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma jioni Novemba 7, 2021.
Mchzaji wa timu ya Mtwara (jezi ya kijivu) akiruka kufunga goli 
Wachezaji wa timu ya Unguja  (jezi ya njano) wakigombea mpira na wachezaji wa Mtwara (jeyi ya kijivu)




Baadhi ya wapenzi wa mpira wa kikapu wakishuhudia mtanange huo.


 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kuangalia kupitia clip hii ya video mtanange kati ya Mtwara na Unguja.....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages