LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 7, 2021

MAKATIBU WA CCM WA MIKOA, WILAYA NCHINI WAFURAHIA KUTEMBELEA TAMASHA LA MVINYO DODOMA+video

Makatibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa mikoa na Wilaya wa Tanzania Bara na Visiwani leo Novemba 7,2021 wametembelea Tamasha la Mvinyo Dodoma (Karibu Dodoma Wine Festival) kwa mwaliko wa Mtoto wa Mkulima, Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda. Makatibu hao walipata wasaa wa kutembelea mabanda mbalimbali yaliyopo hapo na kupata wasaa wa kuelezewa kuanzia kilimo cha zabibu na jinsi mvinyo unavyotengenezwa na kupata fursa ya kuonja pia. ....













 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza/ kuona kupitia clip hii ya video makatibu hao wakiwa eneo hilo la tamasha, lakini pia mwishoni Mratibu wa Tamasha hilo Atwitye Makweta na Eva Mpogolo Meneja Masoko wa Kiwanda cha Konyagi kinachotengeneza pia mvinyo wa Dodoma Wine wakielezea umuhimu wa tamasha hilo..

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI WA BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages