LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 14, 2021

WAZIRI WA ULINZI DKT TAX AWA MGENI RASMI MAHAFALI SHULE ZA FEZA





 Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,  Dkt Stergomena Tax akimkabidh Cheti cha Taaluma Nyelwa Baraka mwanafunzi aliyefanya vizuri  Mitihani ya Shule ya Feza, Kwenye mahafali ya Darasa la saba (kulia) ni Mkurugenzi wa Shule za Feza, Ibrahim Yunus sherehe hiyo imefanyika katika viwanja vya shule ya msingi Feza jiji Dar es Salaam. 



Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax akimpongeza Mwanafunzi bora katika Masomo Shule ya Msingi Feza, Nyelwa Baraka. akiweka Saini kwenye kitaru mahalumu cha Shule hiyo kama alama ya wanafunzi waliofanya vizuri Darasani. (kushoto) ni Mwenyekiti wa Shule za Feza,  Ismail Yilmaz, na kulia wa (kwanza) Mustafa Cerik mkuu wa Shule ya msingi Feza, anayefuata ni Mkurugenzi wa Shule za Feza,  Ibrahim Yunus. Sherehe hiyo ya mahafali ya Darasa la saba imefanyika katika viwanja vya shule hiyo iliyopo Kawe Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages