LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 11, 2021

WANAFUNZI TGGA WANOGESHA MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI+video

Wanafunzi amabao ni wanachama wa Chama cha Skauti wa Kike cha Tanzania Girl Guides (TGGA), wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Tanzania yaliyoandaliwa na TGGA Makao Makuu Upanga, jijini Dar es Salaam Oktoba Mosi, 2021.

 





Baadhi ya Girl Guides wakiwa  makini kusikiliza wakati Kamishna Mkuu wa TGGA, Symphorosa Hangi akihutubia wakati wa maadhimisho hayo.
Mtoto Mzsam Ameri mwenye umri wa miaka 6, akishiriki kwenye maadhimisho hayo.
Wanafunzi wanachama wa TGGA wakitumbuiza 

Mgeni rasmi Frank Sanga ambaye alimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Ilala akiwa katika picha ya pamoja na  viongozi wa TGGA pamoja na vijana wa TGGA.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza /kuona kupitia clip hii ya video wanafunzi Girl Guides wakishiriki vyema katika maadhimisho hayo na  baadhi yao wakieleze mambo mbalimbali waliyojifunza wakati wa maadhimisho hayo.......

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages