LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 25, 2021

WABUNGE WAJUMBE WA APNAC WATEMBELEA , HAKIRASILIMALI, POLICY FORUM WIKI YA AZAKI DODOMA

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Haki Rasilimali, Racheal Chagonja akifafanua jambo kwa wabunge wajumbe wa  Chama cha Kupambana  na Rushwa (African Parliamentary Network Against  Corruption (APNAC) pamoja na wawakilishi wa Kenya Transparencz International walipotembelea taasisi hiyo wakati wa Maonesho ya Wiki ya Azaki jijini Dodoma Oktoba 24,2021.
Katibu wa APNAC, Vita Kawawa akichangia hoja wakati wa mazungumzo hayo zaliyofanyika katika banda la Taasisi hiyo ya Haki Rasilimali.
Katibu wa Chama cha Wanawake wachimbaji wa Madini Tanzania (TAWOMA), Salma Kundi  akielezea mbele ya wabunge kuhusu utendaji wa chama hicho pamoja na jinsi wanavyotengeneza vito na mapambo kwa kutumia mawe yenye madini.
Katibu wa APNAC, Kawawa akiangalia vito na mapambo.
Afisa wa Bunge, Brown Gideon (kulia) akizungumza wakati wa kikao hicho.
Wabunge wakiangalia majarida mbalimbali walipotembelea Banda la Policy Forum wakati wa maonesho hayo.

Wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza kutembelea maonesho hayo.
Makamu Mwenyekiti wa APNAC, Cecilia Paresso akielezea kuhusu lengo la kutembelea maonesho hayo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages