LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 29, 2021

VYOMBO VYA HABARI VYAPONGEZWA KUHABARISHA WIKI YA AZAKI 2021 DODOMA+video

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya CBM, Nesia Mahenge akitoa shukrani wakati wa kuhitimisha Wiki ya AZAKI jijini Dodoma leo Oktoba 28, 2021, ambapo amewapongeza wanahabari wa vyombo mbalimbali vya habari nchini kwa kuandika vizuri na kwa upana habari za Wiki hiyo. Pongezi hizo zimetolewa mara baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu kuhitimisha wiki hiyo ya AZAKI.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu akizungumza wakati wa kuhitimisha kilele cha Wiki ya AZAKI.
Wadau wa AZAKI wakisikiliza kwa makini wakati Waziri Ummy Mwalimu akihutubia wakati wa kilele hicho.


 Mkurugenzi Mtendaji wa FCS, Francis Kiwanga akiteta jambo na Waziri Ummy.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mkurugenzi wa CBM, Nesia akitoa pongezi hizo.....

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages