LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 31, 2021

SPIKA NDUGAI AWAKANYA MAWAZIRI WASIO AMBILIKA, SHAURIKA+video

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (pichani) amewakanya mawaziri na manaibu mawaziri wasioambilika wala kushaurika na kuwataka waache tabia hiyo ama sivyo ipo siku wataumbuka.


Ndugai ametoa karipio hilo alipokuwa anafunga Mafunzo ya kuwajengea uwezo mawaziri hao yaliyofanyika kwa siku mbili Jijini Dodoma Oktoba 30,2021.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kapteni mstaafu George Mkuchika akizungumza kabla ya kumkaribisha Waziri  wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohammed Mchengerwa.
Waziri  wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohammed Mchengerwa. akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi Spika wa Bunge, Job Ndugai wakati wa kufunga semina ya mafunzo hayo.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uongozi Institute akielezea mafanikio mafunzo hayo ya mawaziri na manaibu mawaziri.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt Kitila Mkumbo akitoa neno la shukrani
Mawaziri na manaibu mawaziri wakiwa makini kusikiliza wakati Spika Ndugai akihutubia.





 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video,  Ndugai  akiwakanya  baadhi ya mawaziri na manaibu waziri wasio ambilika  wala kushaurika

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
 Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages