LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 15, 2021

RIDHIWANI KIKWETE AFANYA MKUTANO JIMBONI KWAKE KUHUSU UTATUZI WA KERO ZA WANANCHI, LEO

 Chalinze, Pwani

Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoa wa Pwani, Ridhiwani Kikwete amefanya mkutano  na wananchi Kibindu jimboni humo na kueleza  juu ya hatua mbalimbali zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan juu ya kutatua kero zinazowasibu wananchi.


Katika kuzungumza nao Ridhiwani amewajulisha juu ya mradi wa Maji wa Mjembe na Kwamsanja, mgawanyo wa Trilioni 1.3 za Msaada, mapungufu ya nyumba za Walimu, malezi na uzazi


 #KaziInaendelea #SSH

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages