LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 5, 2021

RAIS SAMIA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO AFRIKA BADEA,AKUTANA NA BAADHI YA MAWAZIRI NA WATENDAJI

 


   

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA) Dkt. Sidi Ould Tah, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

    

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 05 Oktoba 2021 amekutana na kuzungumza na baadhi ya Mawaziri akiwemo Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa, Waziri wa Tamisemi Mhe. Ummy Mwalimu, Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Profesa Kitila Mkumbo, Waziri wa Nishati Mhe. Januari Makamba pamoja na baadhi ya Watendaji wa Taasisi mbalimbali za  Serikali, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 05 Octoba 2021.

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages