LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 5, 2021

NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA AHUDHURIA HAFLA YA SIKU YA MTEJA NMB DODOMA

 

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (Bara) Ndugu Christina Mndeme leo amehudhuria hafla fupi ya siku ya Mteja NMB  Tawi la UDOM akimuwakilisha Katibu Mkuu .

Naibu Katibu Mkuu amewapongeza na kuwashukuru Benki ya NMB kwa kutoa huduma bora kwa wananchi ikiwa sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya CCM ambayo imelenga kuinua wananchi kiuchumi.

Pia NHaibu Katibu Mkuu amewashauri Benki ya NMB kuongeza ATM nyingi zaidi katika maeneo mbalimbali kurahisisha huduma kwa wateja.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages