LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 14, 2021

RAIS SAMIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO KUANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu Mkoani Kilimanjaro leo Oktoba 14, 2021, akitokea Mkoani Geita.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages