LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 30, 2021

RAIS SAMIA AONDOKA NCHINI LEO KWENDA GLASGOW SCOTLAND KUHUDHURIA MKUTANO WA 26 WA UMOJA WA MATAIFA (UN)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisindikizwa  na Makamu wa Rais Dk. Philip Isdor Mpango na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipokua akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo kwenda Glasgow, Scotland, kuhudhuria mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa (UN) utakaojadili kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi pamoja na jitihada za kupunguza uzalishaji wa hewa ya ukaa ili kupunguza joto Duniani. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages