LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 17, 2021

RAIS SAMIA AKUTANA NA MTOTO WAJINA WAKE, ALIYEZALIWA KATIKA HOSPITALI YA JIJI LA ARUSHA ALIYOIZINDUA LEO

 

Rais Samia Suluhu Hassan, akimsalimia mtoto Samia Yona  aliyezaliwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 17, 2021 katika Hospitali ya Jiji la Arusha,  baada ya kuizindua rasmi Hospitali hiyo katika eneo la Chekereni Arumeru Jijini humo. Aliyempaka mtoto Samia ni Mama Mzazi  Mary Joseph mkazi wa Njiro Arusha.
Rais Samia Suluhu Hassan, akizindua rasmi Hospitali ya Jiji la Arusha katika Eneo la Njiro Arumeru Mkoani Arusha leo.
Rais Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Chekereni Arumeru Mkoani Arusha baada ya kutembelea na kukagua mradi wa Maji safi na Salama unaoendelea katika eneo hilo,  katika ziara yake ya kikazi mkoani humo.(Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages