LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 19, 2021

MUSOMA VIJIJI WAIOMBA SERIKALI FEDHA ZA IMF KUMALIZIA UJENZI WA YAHANATI, KUNUNUA AMBULANCE




Baadhi ya majengo ya Zahanati yanayohitaji fedha za kumalizia ujenzi jimbo la Musoma Vijijini

Baadhi ya ambulance 5  zilizonunuliwa na Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof. Muhongo  ambazo zimechakaa baada ya kutumika muda mrefu hivyo kuhitajika  zingine mpya.



WANANCHI na viongozi wa Jimbo la Musoma Vijiji, mkoani Mara wameomba michango ya fedha kutoka kwa wadau na serikali zikiwemo msaada wa IMF ili kukamilisha ujenzi wa Zahanati na kununua magari mawili ya kubebea wagonjwa (Ambulance).


 Wameomba fedha za kununulia magari hayo hasa baada ya ambulance 5 zilizonunuliwa na Mbunge wao, Profesa Sospeter Muhongo kuchakaa baada ya kutumika kwa muda mrefu.


Ambulance zilizonunuliwa na Mbunge wa jimbo hilo, Prof. Sospeter Muhongo zilipelekwa:


*KITUO CHA AFYA MURANGI*: KATA YA MURANGI


*KITUO CHA AFYA MUGANGO* : KATA YA MUGANGO


*ZAHANATI YA KURUGEE*: KIJIJI CHA BUKUMI, KATA YA BUKUMI


 *ZAHANATI YA MASINONO*: KIJIJI CHA MASINONO, KATA YA BUGWEMA


*ZAHANATI YA NYAKATENDE* :  KIJIJI CHA KABEGI, KATA YA IFULIFU


*OMBI KUTOKA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI*


"Tunaomba michango ya fedha zikiwemo za IMF tukamilishe ujenzi wa miundombinu ya afya jimboni mwetu na kununua ambulance 2."


 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages