LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 31, 2021

WAZIRI MKUU MAJALIWA AIMWAGIA SIFA LUKUKI NHC UJENZI WA NYUMBA 1000 DODOMA+video

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa akielekea kukagua nyumba makazi zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), katika eneo la Iyumbu, Dodoma  Oktoba 31, 2021. Mradi huo wa ujenzi wa nyumba 1000 unatekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Wayiri Mkuu amelimwagia sifa lukuki shirika hilo kwa utendaji wake mzuri.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi nyumba za makazi, katika eneo la Iyumbu, Dodoma  Oktoba 31, 2021. Mradi huo wa ujenzi wa nyumba 1000 unatekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angellina Mabula, Wa pili kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene.
Baadhi ya nyumba zilizopo Iyumbu karibu na Chuo Kikuu cha Dodo
Akipata maelezo  alipokuwa akikagua vyumba  kutoka kwa Mkurugenzi wa Ujenzi na Uhandisi wa NHC,Haikamen Mlakia

Waziri Mkuu akitoka kukagua baadhi ya nyumba hizo

Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Mazingira
Baadhi ya wabunge wakicheza muzikk uliokuwa ukiporomoshwa na Dodoma Musical Band
Baadhi ya watumishi wa NHC na wageni waalikwa 



 Baadhi ya viongozi wa CCM Mkoa wa Dodoma wakiwa katika picha ya pamoja na  Waziri Mkuu na viongozi wengineo.   

Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video hapa chini Waziri mkuu Majaliwa akilimwagia sifa hito shirika hilo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages