LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 25, 2021

KONGAMANO LA MCHANGO WA AZAKI KATIKA MAENDELEO YA NCHI LAPAMBA MOTO DODOMA+video

Jopo la wadau wa asasi za kiraia wakiwa katika kongamano la kujadili mchango wa AZAKI katika Maendeleo ya Nchini kwenye Ukumbi wa Royal Village jijini Dodoma Oktoba 25,2021, ikiwa ni mwendelezo wa Wiki ya Azaki.
Aliyekuwa CAG, Dkt Ludovick Uttoh
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Msichana Initiative, Rebeca Gyumi akitoa maoni yake wakati wa kongamano hilo.
Mwenyekiti wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali Mkoa wa Mbeya (MBENGONET)Simon Mwangonda akichangia mada na kutoa mchango wake wa mawazo.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Haki Elimu,Dk John Kalage
Rais wa FCS, Dkt Stigmata Tenga
Mwanachama wa FCS, Alais Morindat
Baadhi ya wadau wakiwa makini kusikiliza mwenendo wa kongamano hilo.





PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video hapa chini upate uhondo wa michango inayotolewa na wadau mbalimbali wa asasi za kiraia kuhusu mchango wa AZAKI katika Maendeleo ya Nchi......

 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages