LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 29, 2021

CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUNZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

 



*

Kwa mujibu wa tovuti ya ukusanyaji wa takwimu za mitandao ya kijamii (Statista Aprili, 2019) watu milioni 23 wanatumia intaneti hapa nchini, sawa na takribani asilimia 42 ya Watanzania milioni 55. 

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaongoza kwa idadi kubwa zaidi wafuasi kwenye mitandao yote ya kijamii kati ya  vyama vitano vya siasa vinavyotumia mitandao miongoni mwa vyama  19 vilivyosajiliwa nchini vinavyoonekana kuwa vinara wa kutumia kurasa za mitandao ya kijamii.  

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Jumatano 27 Oktoba 2021.

*#ChamaImara*
*#KaziIendelee*

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages