HABARI MPYA

Your Ad Spot

Sunday, October 24, 2021

AZAKI WAHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUPATA CHANJO YA UVIKO-19 WIKI YA DODOMA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chiritian Blind Mission (CBM), Nesia Mahenge akitoa hamasa kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kwenda kupata chanjo ya UVIKO-19 katika Maonesho ya Wiki ya AZAKI yanayoendelea kwenye viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mahenge akitoa hamasa hiyo.....Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tafadhali andika maoni yako kuhusu habari hiyo uliyosoma. Andika hapo👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages