LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 22, 2021

ZIARA YA MKUU WA MKOA WA PWANI ABOUBAKAR KUNENGE KATIKA KATA TATU JIMBO LA CHALINZE

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Riziwani Kikwete akitoa maelezo kuhusu Mradi wa Ujenzi wa  jengo la Soko katika Kata ya Bwilingu.jimboni humo mbele ya Mkuu wa mkoa wa Pwani Aboubakar Kunenge
Aboubakar Kunenge akikagua Soko hilo

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Riziwani Kikwete akitoa maelezo kuhusu Mradi wa Ujenzi wa  jengo la Soko katika Kata ya Bwilingu.jimboni humo,  
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Riziwani Kikwete akipiga plasta ukuta wa  sehemu ya jengo la Soko katika Kata ya Bwilingu.jimboni humo, ikiwa ni ishara ya uendelezaji wa ujenzi wa soko hilo.

Mkuu wa mkoa wa Pwani Aboubakar Kunenge akiwa ameongoza na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Zainab Abdallah, Mbunge wa Chalinze Riziwani Kikwete na Mkurugenzi Mtendaji wa Hapmashauri ya Chalinze Ramadhani Possi wakati wa ukaguzi wa stendi ya Mabasi Chalinze
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages