LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 21, 2021

ZIARA YA KUIMARISHA MASHINA NA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM KATIBU MKUU WA UWT DK. PHILLIS NYIMBI, MADABA SONGEA

Katibu Mkuu wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Dk. Phillis Nyimbi akizungumza na wanachama wa CCM na Jumuiya zake hususan UWT katika Mkutano uliofanyika Madaga Songea mkoani Ruvuma.
Katibu Mkuu wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Dk. Phillis Nyimbi akikabidhi kadi kwa mwanachama mpya wa Jumuiya hiyo katika Mkutano uliofanyika Madaga Songea mkoani Ruvuma. Jumla ya Wanachama wapya 21 walikabidhiwa kadi
Katibu Mkuu wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Dk. Phillis Nyimbi akiwa na wanachama wapya wa UWT baada ya kuwakabidhi kadi katika Mkutano uliofanyika Madaga Songea mkoani Ruvuma. Jumla ya Wanachama wapya 21 walikabidhiwa kadi

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages