Wahandisi wapya wakila kiapo cha uadilifu wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa 18 Wahandisi uliofunguliwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamuriho kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Septemba 2, 2021.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamuriho akifungua Mkutano wa 18 wa Mwaka wa Wahandisi kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Septemba 2, 2021. |
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthonz Mtaka akihutubia wakati wa mkutano huo ambapo amewataka wahandisi kuvuka mipaka kuomba tenda mbalimbali hata katika nchi zingine. |
Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi, Eng. Prof. Ninatubu Lema akielezea mafanikio na changamoto zinazowakabili.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta za Ujenzi), Eng. Joseph Malongo akifafanua jambo wakati wa mkutano huo..
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamuriho akitembelea mabanda mbalimbali wakati wa maonesho yanayoenda sambamba na mkutano huo.
Viongozi wakiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇