Wabunge wakiingia bungeni Dodoma ambapo kulikuwa na kipindi cha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kujibu maswali ya wabunge na majadiliano ya kupitisha mswada wa mabadiliko ya sheria ndogo ndogo.
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu akiwa na Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (kulia) na Naibu Waziri wa Tamisemi, David Silinde.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi (kulia) na Mbunge wa Mbulu Vijijini. Fratey Massay.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Omar Kipanga akiwahi kuingia bungeni.
Mbunge wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda
Mbunge wa Viti Maalumu, Catherine Magige.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako akiwahi kuingia bungeni.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇