LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 5, 2021

SHUHUDIA MOTO 🔥🔥WA SHEREHE YA HARUSI YA IDDI MPONDOMOKO NA MKEWE RAUHIYA BURA ILIVYOTIA FORA, UKONGA, JIJINI DAR ES SALAAM

Siku ya Ijumaa, Septemba 3, 2021 ilikuwa siku ya kipekee kwa familia ya Hayati Mzee Hussein Mpondokomo ambaye tunamuombea kwa Mwenyezi Mumungu aendelee kumjaalia kauli thabiti na kumuondolea adhabu za kaburi. Ina Lilalh Waina Ilayhi Raj'uun.

Ilkuwa siku ya kipekee kwa kuwa ndiyo siku ambayo Kijana wake Iddi Huseein Mpondomoko na Mkewe Rauhiya walipoandika historia ya kipekee katika maisha yao kwa kufanya sherehe iliyofana sana ya Harusi yao.

Sherehe hiyo ilifanyika katika Ukumbi mdogo wa Bwalo la Jeshi la Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Ndugu, Jamaa na Marafiki wa Maharusi hao. Pichani (Juu), Bwanaharusi Iddi na Mkewe Rauhiya wakilishana keki wakati wa sherehe hiyo. Zifuatazo ni mtiririko wa picha kem-kem za tukio hilo. Endelea kuzitazama Hapo👇🏻👇🏻
Mwendesha shughuli akaanza kwa kuikaribisha kuingia ukumbini familia ya Bwana Harusi, ambao waliingia wakiimba na kucheza wimbo wa Kimatumbi huku wa kiongozwa na Mama wa Bwana Harusi, Mama Mpondo.(Mwenye kilemba chekundu).👇🏻






++++++
Kisha MC Mzee Alphonce 👆🏻akaikaribisha kuingia ukumbini Familia ya Bibi Harusi, ambao waliingia wakiongozwa Wazaa Chema Baba na Mama Mzee Bura na nyuma ya wanafamilia hiyo wakafuatia waalikwa mbalimbali kuingia ukumbini.👇🏻








Wazazi wa Bibi Harusi Baba na Mamama Mzee Bura wakiwa tayari ukumbini
Wazazi wa Bibi Harusi Baba na Mama Bura wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri ukumbini
Mama wa Bi Harusi Mama Salma Amani Kipute
Baba wa Bi Harusi Mzee Bura akiwa ukumbini
++++++++

Watoto wa Iddi Mpondo na Mkewe, kina Ajiba na Dada yake Sharon wakingia ukumbini kutia baraka kabla ya Maharusi kuingia.

Ndugu, Jamaa na Marafiki wa Maharusi, wakawa ukumbini kwa furaha wakati wakiwasubiri kwa hamu Maharusi waingine ukumbini👇🏻





Dada Mkubwa wa Bwana Harusi Mama Halima akiwa aukumbini












++++++++++
Punde si punde, Maharusi wakaingia ukumbini wakicheza muziki laini huku wakimeremeta kwa mavazi yao ya kisasa na sura zao za tabasamu.👇🏻







 

"Karibuni, Karibuni" Mama Mpondo akaongoza Ndugu, Jamaa na Marafiki kusimama kuwalaki Maharusi baada ya kuingia ukumbini.👇🏻













Kisha Maharusi wakafika mahala pa kuketi, lakini wakasimama kwanza kusubiri itifaki ikiwemo kusamilia na kupitishwa dua.👇🏻


Sheikh akashusha Dua, kuombea kwa Allah shughuli iwe ya baraka.👇🏻


++++++
Baada ya Dua ikawa zamu ya Wanakamati wa Maadalizi ya Sherehe hiyo kupata fursa ya kujitambulisha👇🏻




Dada Rehema Mwendo ambaye ndiye alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Sherehe hiyo alipokuwa akizungumza na kufanya utabulishi wa wanakamati hiyo.
+++++++
Halafu ukawadia wakati wa Maharusi kufanya utambulisho wa ndugu, Jamaa na Marafiki. "Kabla sijafanya utambulisho nawaomba ndugu jamaa na rafiki zetu mliofka hapa, tusimame kwa dakika tatu kuwakumbuka wenzetu waliotangulia mbele za haki, hususan Baba yetu Mzee Huseein Mpondokomo", akasema Bwana Harusi, na ikafanyika kama alivyoomba.👇🏻


"Naanza mumtambulisha Mama yangu Mzazi, naomba asimamie kuwasalimia", akasema Bwana Harusi, kisha Mama Mpondo akasimama kuslimia.👇🏻
Mama wa Bwana Harisi Mama Mpondo akasimama na kusalimia.
Mama Mdogo wa Bwana Harusi Asha Said Kilopo akisalimia
Dada Mkubwa wa Bi Harusi Mwazani Mpondomoko akisalimia
Kaka wa Bwana Harusi Saidi Mpondomoko na Mkewe wakisalimia
Kaka wa Bwanaharusi Abdulrahman Mpondomoko akisalimia
Dada za Banaharusi wakisalimia kwa pamoja.

Bwanaharusi akitambulisha wajukuu wa Marehemu Mzee Mpondomoko
Kisha akawatambulisha watoto wake Sharon na Ajiba
Halafu akamtambulisha Mkewe Bibie Rauhiya. Kisha 'Mike' ikahamia kwa Bibi Harusi kufanya Utambulisho 👇🏻


Bibi Harusi akazungumza kidogo kabla ya kufanya utambulisho
Kwa furaha akashindwa kufanya utambulisho huo akaomba kusaidiwa.
Dada wa Bibi Harusi akamkumbatia Bi Harusi na kuchukua jukumu la kutanya utambulisho.
Akanza kufanya utambulisho
Wazazi wa Bi Harusi Baba na Mama Bura wakisalimia



Kisha akamtambulisha mumewe



++++++++
Ukawadia wakati wa tukio la Keki 🍩🍩👇🏻
















Baada ya keki ukawadia wakati wa kufunguliwa shapeni na kunywewa.🍾🍾🍒👇🏻




































































Kisha ukawadia mda wa chakula🍔👇🏻
















Baada ya chakula ukawadia wakati wa kuwatuza Maharusi kwa zawadi, akitangulia Mama Mpondo mwenyewe kupeleka zawadi👗👠🧥💼👇🏻






































Mtoto Sharon Iddi Mpondomoko akaimba wimbo🎼🎼 Maalum aliotunga kuwapongeza Maharusi. Wimbo huo ukaamsha hisia na kusababisha maharusi na waalikwa kumpongeza mtoto huyo.




Hatimaye ukapigwa muziki 🎷🎺🎸wa kuselebuka 🤸🏻‍♀️🤸🏻‍♀️🏌🏻kwa ajili ya kuhitimisha shughuli ili Maharusi waende kupumzika.



Maharusi wakiondoka ukumbini huku wakisindikizwa na Mama Mpondo (kushoto) na kuhitimisha sherehe hiyo.

Blog hiii ya taifa ya CCM inawatakia Maharusi Maisha marefu yenye mafanikio na furaha tele.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages