HABARI MPYA

Your Ad Spot

Sep 21, 2021

RAIS SAMIA KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO WA 76 WA BARAZA KUU LA UN JIJINI NEW YORK

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwa katika Ufunguzi wa Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) unaofanyika leo Septemba 21, Jijini New York Marekani. Wa pili kushoto  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages