Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia Baraza Kuu la UN jioni hii.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisaini kitabu cha kumbukumbu katika Ofisi za Umoja wa Mataifa Jijini New York Marekani, baada ya kuhutubia mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo Septemba 23,2021. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres.
Kama hukubahatika kumuona na kumsikia akihutubia, Bofya Hapo👇🏻
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇