Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu na Utawala, Charles Lengeju akimkabidhi cheti Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam, Irene Mark wakati wa kukabidhi vyeti kwa klabu za waandishi wa habari kwa kutambua mchango wa vyombo vya habari kutoa elimu kwa jamii kuhusu Mfuko huo.
NHIF imefanya mkutano na waandishi wa habari kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani kwenye Ukumbi wa LAPF jijini Dodoma wenye lengo la kupeana mrejesho wa huduma za Mfuko kwa kuangalia ulipotoka, ulipo na unapoelekea na kushiriki pamoja maadhimisho ya miaka 20 ya Mfuko huo ulioanzishwa Mwaka 2001.
Jumamosi Septemba 25, 2021 NHIF imeandaa Bonanza la Michezo kwa waandishi litakalofanyika kwenye viwanja vya Kilimani jijini humo.
Singida Press Club
Shinyanga Press Club
Tabora Press Club
Arusha Press Club
Simiyu Press Club
Tanga Press ClubS
Iringa Press Club
Kagera Press Club
Katavi Press Club
Kigoma Prss Club
Kilimanjaro Press Club
Lindi Press Club
Morogoro Press Club
Mtwara Press Club
Mwanza Press Club
Njombe Press Club
Rukwa Press Club
Pwani Press Club
Ruvuma Press Club
Mbeya Press Club
Manyara Press Club
Zanzibar Press Club
Central Press Club
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇