Waziri Mkuu wa Tanzania, Mh. Kassim Majaliwa Majaliwa, Mwenyekiti wa Bodi ya NMB – Dk. Edwin Mhede (kulia) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna (wa pili kulia) wakishiriki katika mbio za hisani za ‘NMB Marathon’ kwa ajili ya kukusanya kiasi cha fedha zitakazo tumika katika matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo, kwenye viwanja ya Leaders jijini Dar es Salaam leo. Wa pili kulia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, wengine ni viongozi mbalimbali wa Serikali na taasisi za umma na binafsi. |
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇