Naibu Katibu Mkuu wa CCM ( Bara) Ndugu Christina Mndeme akimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Ushetu kwa tiketi ya CCM Ndugu Emmanuel Cherehani (kulia) kwenye viwanja vya Nyamilangano.
Chama Cha Mapinduzi kimezindua rasmi leo kampeni zake katika jimbo la Ushetu.
(Picha na Adam Mzee/ CCM Makao Makuu)
Naibu Katibu Mkuu wa CCM ( Bara) Ndugu Christina Mndeme akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020/2025 mgombea wa ubunge jimbo la Ushetu kwa tiketi ya CCM Ndugu Emmanuel Cherehani (kulia) kwenye viwanja vya Nyamilangano.
Chama Cha Mapinduzi kimezindua rasmi leo kampeni zake katika jimbo la Ushetu.
(Picha na Adam Mzee/ CCM Makao Makuu)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇