LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 8, 2021

YANGA YAONDOLEWA KAGAME CUP BAADA YA KUPIGWA 3-1 NA EXPRESS YA UGANDA

 

Klabu ya Yanga SC imeondolewa rasmi katika Michuano ya Kagame Cup baada ya jana Agosti 7, 2021 kucharazwa mabao 3-1 dhidi ya Express FC ya Uganda katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi uliopigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Mabao ya Express katika mchezo huo yamefungwa na Godfrey Lwesibaya dakika ya 14', Muzamil Mutyaba dakika ya 35' na Erick Kambale dakika ya 52' na Bao la kufuta machozi kwa Yanga limefungwa na Paul Godfrey dakika ya 71'

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages