LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 10, 2021

TAARIFA YA KATIBU MWENEZI WA CCM SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA LUGHA YA KITAIFA NA ZA KIMATAIFA

SHAKA: CHAMA CHA MAPINDUZI KINAJIAMINI NA KUJITEGEMEA KIFIKRA

Na Mwandishi Wetu,

Dar es Salaam.


Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uwezo wa viongozi na makada wa chama hicho unatokana na utayari, uthubutu na kuujua umma unataka nini, kwa wakati upi na namna ya kutimiza mahitaji husika kulingana na changamoto zinazowakabili wananchi.


Pia kimesema chama cha siasa ambacho hakiwezi kuheshimu matakwa ya wanachama,  wananchi na Taifa  hutanguliza maslahi binafsi ya viongozi kuliko maslahi mapana ya umma kama wafanyavyo upinzani na hapo ndipo penye tofauti kati yao na chama tawala.


Hayo yamesemwa jana na katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu  Shaka alipoulizwa iwapo CCM ina utofauti na upinzani alisema kuna utofauti kati ya viongozi wake na upinzani vivyo hivyo katika ubora wa muundo na sera CCM huwezi kukifananisha na chama chochote nchini.


Shaka alisema kwanza vyama  upinzani hivyo  ukiacha kuwa ni vichanga, havijawa na uzoefu wa kutosha, viongozi  wake wamepatikana nje ya mifumo yenye kuaminika kwa jamii ikiwemo kutokimbazana na mahitaji ya wakati.


Alisema  mfano chadema iwapo kingelikuwa kinafanya tathmini au tafiti za kisiasa toka kwa wanachama wake na makundi mengine ndani ya umma kutaka kufahamu ajenda  ipi ni kipaumbele kwa wakati huu kati ya uchuni na katiba mpya, basi takwimu zingewaonesha kipaumbele namba moja ni uchumi.


Katika hili tunawakumbusha wakafanye rejea kwenye utafiti wa TWAWEZA sauti za wananchi ambao ulionesha vipaumbele vya wananchi na katika hivyo katiba haikuwepo, wananchi walitaja maji, afya, elimu, rushwa, miundombinu na uchumi. 


Alisema kutokana na chama hicho (Chadema) kushindwa kufanya  tafiti za msingi zenye kwenda sanjari na mahitaji ya wakati, ndiyo  maana kila wakati  kimekuwa kikijikuta kikishindana na nguvu za upepo kwa mujibu wa  wakati ndio maana hakijui kama uchumi wa watu ni kipaumbele cha kwanza na vingine hufuata baadaye.


"Chama bora na makini hujikita katika tafiti za kitaalamu kila mara ili kuweza kufahamu mahitaji ya wananchi na Taifa pamoja na namna nzuri ya kuyakamilisha.  Matakwa na mahitaji ya wakati yanapopishana na kuanza kuchomoza  ukaidi wa viongozi ni dosari na kiashiria kuwa chama husika kimepoteza ushawishi wake na kipo hatarini kuingia makumbusho ya kisiasa. Nguvu ya ushawishi sio uwezo wa kupaza sauti bali ni uwezo wa kuyaishi mahitaji ya wakati kwa njia sahihi." Alisema shaka.


Alisema kila  madhumuni, shabaha, sera na malengo yenu kadri mnapoitazama jamii  hapo ndipo mnapotakiwa  kusimama pamoja kama viongozi huku mkiwa mmejitayarisha, mnajiamini na  kujitegemea kifikra katika msimamo mmoja wenye manufaa ya wengi.


Aidha katibu mwenezi huyo alisema viongozi wasiojiamini kamwe hawawezi kuendeleza  malengo  yao ya msingi. Maana hawana moyo wa uvumilivu na subira hivyo ni vigumu sana kumudu migogoro ndani ya vyama wanavyoviongoza. Vyama vya upinzani vina viongozi wa aina hii wasiojiamini ndio sababu migogoro haikomi na vinadumaa.


"Sifa ya CCM ni  bidii, utayari, umoja  wake madhubuti, subira na ustahimilivu. Hayupo anayeweza kutenda na kutekeleza mawazo au fikra zake bila kupatikana uamuzi na msimamo wa  pamoja. Hivyo vikao ni muhimu sana kuliko uwezo binafsi wa mtu. Siku zote CCM huamua mambo yake kwa kutazama mahitaji ya wengi kupitia vikao" Alisema 


Shaka alisema aina ya viongozi wenye kuelewa hayo na kuyasimamia huwezi kuwakuta kwenye vyama vingine badala yake huko jamii itakutana na wapigania madaraka, wapenda vyeo na utawala na wala hutawaona viongozi  au wanasiasa makini.


"Yapo mataifa yenye katiba zinazoitwa katiba bora. Cha ajabu mataifa hayo yapo kwenye ukabila,  milio ya risasi, mapigano na umwagaji damu wao kwa wao. Yote ni kwa sababu wanasiasa wanapambana kusaka vyeo na kutafuta urahisi wa kupata madaraka ya kiutawala. Tanzania imepata gharama kubwa kujenga misingi ya amani, umoja, mshikamano iliyonayo leo ikiwa imewekewa misingi thabiti kwenye katiba. Kwa sasa tushirikiane na tushikamane vizuri kujenga uchumi kwanza." Alisisitiza shaka


Mwisho 


SHAKA: THE RULLING PARTY (CCM) IS CONFIDENT AND INTELLECTUALLY INDEPENDENT 


By Our Correspondent, 

Dar es Salaam. 


The Rulling Party (CCM) has said the ability of the party's leaders and cadres comes from the readiness, assertiveness and understanding the public interest on when and how to meet the relevant needs based on the challenges facing the people. 


CCM has also said that difference between CCM and other parties comes on deciding what comes first. A political party that does not respect the wishes of its members, citizens and the Nation in general, instead puts the personal interests of the leaders ahead of the broader public interest same as what oppositions do; That is where the difference is. CCM always put first things first.


This was stated yesterday by the Secretary of the CCM National Executive Committee, Ideology and Publicity Shaka Hamdu Shaka when asked if CCM has differences with the opposition interms of qualities of leadership, he said there are differences between its leaders and the opposition likewise in the quality of structure and policies.


Shaka said apart from being unstable, Opposition parties have not had enough experience, its leaders have been found outside the credible systems of society including not meeting the demands of time. 


He explained, for example, if oppositions were conducting political assessments or research from its members and other groups in the public to find out what agenda is a priority at this time between the economy stability of the country and its people; and the new constitution, then statistics would show them the number one priority is the economy. 


In this we recommend oppositions to refer to the TWAWEZA voices of the people which conducted research identifying the priorities of the people,  results found that the constitution did not exist in the list, the people prioritised water, health, education, corruption, infrastructure and the economy as their first things.


He added due to the party (Chadema) failing to conduct basic research that goes hand in hand with the needs of the time, resulted to found itself competing with wind power over time which is why it does not know if people's economy is a priority and others follow later. 


"A good and focused party always focuses on professional research to be able to understand the needs of the people and the nation as well as the best way to meet them. If the public interests differ with political party's interest then the party itself is declining to a political museum. The power of persuasion is not the ability to speak but the ability to live up to the needs of time in a proper way. " He said.


He said all your objectives, policies and goals as you look at society; is where you need to stand together as leaders while you are prepared, confident and intellectually independent in one position that benefits the majority. 


In addition, he said insecure leaders would never be able to pursue their basic goals, because they do not have the strong heart to be patient so it is very difficult to afford conflicts within the parties they lead. Opposition parties have leaders of this type who lack confidence and that is why conflicts do not end and stagnate. 


"The reputation of CCM is diligence, readiness, solid unity, patience and resilience. No one can act and implement ideas without finding a common decision and position. So sessions are more important than one's personal ability. CCM always decide on majority through official forums" He said 


Shaka said the kind of leaders who understand and manage that; are no where to be found apart from CCM. Other parties instead are full of carelessly leaders, power fighters, nobles and the poor administration.


"There are nations with so called better constitutions. Surprisingly those nations are in ethnicity, gunfire, fighting and bloodshed for each other. It's all because politicians are fighting for power and seeking easy access to administrative power. Tanzania has incurred high costs, to build the foundations of peace, unity and solidarity that we have today based on a solid constitution. Let us now work together to build our economy first." He insisted.


End

 GERMAN 🇩🇪


SHAKA : DIE REVOLUTIONÄRE PARTEI IST ZUVERLÄSSIG UND INDIVIDUELL UNABHÄNGIG 


Von unserem Korrespondenten, Dar es Salaam. 


Die Koalition für die Revolution (CCM) sagte, dass die Fähigkeit der Führer und Kader der Partei von der Bereitschaft, dem


Durchsetzungsvermögen und dem Wissen um den Willen der Öffentlichkeit abhängt, wann und wie die entsprechenden Bedürfnisse basierend auf den Herausforderungen der Menschen zu befriedigen sind. 


Es sagte auch, dass eine politische Partei, die die Wünsche ihrer Mitglieder, Bürger und der Nation nicht respektiert, die persönlichen Interessen der Führer vor dem breiteren öffentlichen Interesse stellt, wie sie es auch der Opposition tun, und hier liegt der Unterschied zwischen ihnen und der Regierung Partei ist. 


Dies sagte gestern der Sekretär des CCM Nationalen Exekutivkomitees.Ideologie und Öffentlichkeit Shaka Hamdu Shaka sagte auf die Frage, ob die CCM Differenzen mit der Opposition habe, dass es Unterschiede zwischen ihren Führern und der Opposition gebe, ebenso in der Qualität der Struktur und der Politik CCM 


 Shaka sagte vor allem, dass die Oppositionsparteien, abgesehen davon, dass sie jung sind, nicht genug Erfahrung haben, ihre Führer außerhalb der glaubwürdigen Systeme der Gesellschaft gefunden wurden und nicht den Anforderungen der Zeit entsprechen. 


Er sagte zum Beispiel, wenn es politische Einschätzungen oder Recherchen seiner Mitglieder und anderer Gruppen in der Öffentlichkeit durchführe, um herauszufinden, welche Agenda derzeit zwischen der neuen Verfassung und der neuen Verfassung Priorität habe, dann würden Statistiken ihnen die Zahl zeigen eine Priorität ist die Wirtschaft. 


Dabei erinnern wir sie daran, sich auf die TWAWEZA-Stimmen des Volkes zu beziehen, die die Prioritäten des Volkes aufzeigten und darin, dass die Verfassung nicht existierte, das Volk Wasser, Gesundheit, Bildung, Korruption, Infrastruktur und Wirtschaft erwähnte. Er sagte, weil die Partei (Chadema) es versäume, Grundlagenforschung zu betreiben, die mit den Bedürfnissen der Zeit einhergeht, deshalb habe sie im Laufe der Zeit immer mit der Windkraft konkurriert, weshalb sie nicht weiß, ob die Wirtschaft der Menschen ist eine Priorität und andere folgen später. „Die beste und fleißigste Partei setzt regelmäßig auf professionelle Recherchen, um die Bedürfnisse von Volk und Nation zu verstehen und ihnen am besten gerecht zu werden. Sie droht, in ein politisches Museum einzudringen nicht die Fähigkeit zu sprechen, sondern die Fähigkeit, den Bedürfnissen der Zeit auf die richtige Weise gerecht zu werden." sagte er zweifelnd. 


Er sagte, dass alle Ihre Ziele, Zielsetzungen, Richtlinien und Ziele, wenn Sie die Gesellschaft betrachten, dort sind, wo Sie als Führer zusammenstehen müssen, während Sie vorbereitet, selbstbewusst und intellektuell unabhängig in einer Position sind, die der Mehrheit zugute kommt.


Darüber hinaus sagte der Co-Sekretär, dass unsichere Führer niemals in der Lage sein würden, ihre grundlegenden Ziele zu verfolgen. Weil sie nicht das Herz haben, geduldig und geduldig zu sein, ist es sehr schwierig, sich Konflikte innerhalb der von ihnen geführten Parteien zu leisten. Oppositionsparteien haben solche Führer, denen es an Selbstvertrauen mangelt, und deshalb enden Konflikte nicht und stagnieren.


 „Der Ruf von CCM ist Fleiß, Bereitschaft, solide Geschlossenheit, Geduld und Belastbarkeit. Niemand kann handeln und seine Ideen oder Ideen umsetzen, ohne eine gemeinsame Entscheidung und Position zu finden. Sitzungen sind also wichtiger als das persönliche Können. CCM entscheidet immer. es ist, indem man die Bedürfnisse der Mehrheit durch Foren betrachtet ", sagte er


 Shaka sagte, dass die Art von Führern, die das verstehen und es managen, in anderen Parteien nicht zu finden sind, stattdessen werde sich die Gemeinscha…

[23:01, 8/8/2021] +255 682 263 802: FRENCH  🇫🇷


SHAKA : LE PARTI RÉVOLUTIONNAIRE EST CONFIANT ET INDIVIDUELLEMENT INDÉPENDANT 


Par notre correspondant, Dar es Salam. 


La Coalition pour la révolution (CCM) a déclaré que la capacité des dirigeants et des cadres du parti découle de la volonté, de l'assurance et de la connaissance de la volonté du public, de quand et de la manière de répondre aux besoins pertinents en fonction des défis auxquels le peuple est confronté.


 Il a également déclaré qu'un parti politique qui ne respecte pas les souhaits de ses membres, des citoyens et de la nation met les intérêts personnels des dirigeants avant l'intérêt public plus large comme ils le font pour l'opposition et c'est là que la différence entre eux et la décision la fête est. 


C'est ce qu'a déclaré hier le secrétaire du Comité exécutif national du CCM. Idéologie et publicité Shaka Hamdu Shaka , lorsqu'on lui a demandé si le CCM avait des différences avec l'opposition, a déclaré qu'il y avait des différences entre ses dirigeants et l'opposition de même dans la qualité de la structure et de la politique du CCM 


 Shaka a dit tout d'abord que les partis d'opposition, en plus d'être jeunes, n'ont pas eu assez d'expérience, ses dirigeants ont été trouvés en dehors des systèmes crédibles de la société notamment ne répondant pas aux exigences du temps. 


Il a dit, par exemple, que s'il menait des évaluations politiques ou des recherches auprès de ses membres et d'autres groupes du public pour savoir quel programme est une priorité en ce moment entre la nouvelle constitution et la nouvelle constitution, alors les statistiques leur montreraient le nombre une priorité est l'économie. 


En cela, nous leur rappelons de se référer aux voix du peuple TWAWEZA qui ont montré les priorités du peuple et en ce que la constitution n'existait pas, le peuple a mentionné l'eau, la santé, l'éducation, la corruption, les infrastructures et l'économie. 


Il a dit qu'en raison de l'incapacité du parti (Chadema) à mener une recherche fondamentale qui va de pair avec les besoins de l'époque, c'est pourquoi il s'est toujours trouvé en concurrence avec l'énergie éolienne au fil du temps, c'est pourquoi il ne sait pas si l'économie des gens est une priorité et d'autres suivront. 


"Le meilleur et le plus assidu des partis se concentre régulièrement sur des recherches professionnelles pour comprendre les besoins du peuple et de la nation ainsi que la meilleure façon d'y répondre. il risque d'entrer dans un musée politique. Le pouvoir de persuasion est pas la capacité de parler, mais la capacité de répondre aux besoins du temps de la bonne manière. " dit-il dubitatif. 


Il a dit que tous vos buts, objectifs, politiques et buts lorsque vous regardez la société, c'est là que vous devez vous tenir ensemble en tant que leaders pendant que vous êtes préparé, confiant et intellectuellement indépendant dans une position qui profite à la majorité.


 En outre, le co-secrétaire a déclaré que les dirigeants peu sûrs ne seraient jamais en mesure de poursuivre leurs objectifs fondamentaux. Parce qu'ils n'ont pas le cœur à être patient et patient donc il est très difficile de se permettre des conflits au sein des partis qu'ils dirigent. Les partis d'opposition ont des dirigeants de ce type qui manquent de confiance et c'est pourquoi les conflits ne s'arrêtent pas et ne stagnent pas.


 "La réputation de CCM est la diligence, la préparation, l'unité solide, la patience et la résilience. Personne ne peut agir et mettre en œuvre ses idées ou ses idées sans trouver une décision et une position communes. Les sessions sont donc plus importantes que la capacité personnelle. CCM décide toujours des choses. c'est en regardant les besoins de la majorité à travers des forums ", a-t-il déclaré 


 Shaka a déclaré que le genre de dirigeants qui comprennent cela et le gèrent, vous ne le trouverez pas dans d'autres partis, mais là-bas, la communauté rencontrera des combattants du pouvoir, des nobles et l'administration et vous ne verrez pas les dirigeants ou les politiciens avec attention. 


"Il y a des nations avec des constitutions appelées de meilleures constitutions. Étonnamment, ces nations sont dans l'ethnicité, les coups de feu, les combats et les effusions de sang les unes pour les autres. Tout cela parce que les politiciens se battent pour le pouvoir et cherchent un accès facile au pouvoir administratif. La Tanzanie a engagé des coûts élevés pour construire. les fondements de la paix, de l'unité, de la solidarité que nous avons aujourd'hui si elle repose sur une constitution solide. Travaillons maintenant ensemble et travaillons ensemble pour construire d'abord l'économie. Il a insisté sur le doute


 Pour terminer

: شك: الطرف الثوري واثق ومستقل بشكل فردي



من قبل مراسلنا ،

دار السلام. / تنزانيا

🇹🇿


وقال الائتلاف من أجل الثورة إن قدرة قادة الحزب وكوادره تنبع من الجاهزية والتأكيد ومعرفة إرادة الجمهور ومتى وكيفية تلبية الاحتياجات ذات الصلة على أساس التحديات التي تواجه الشعب.


كما قالت إن الحزب السياسي الذي لا يحترم رغبات أعضائه والمواطنين والأمة يضع المصالح الشخصية للقادة على المصلحة العامة الأوسع كما يفعلون المعارضة ، وهنا يكمن الاختلاف بينهم وبين الحاكم. الحزب.


صرح بذلك أمس سكرتير اللجنة التنفيذية الوطنية لـ CCM. قال شاكا حمدو شاكا ، عندما سئل عما إذا كان لدى CCM خلافات مع المعارضة ، هناك اختلافات بين قادتها والمعارضة بالمثل في جودة الهيكل والسياسة CCM


وقال شاكا إن أحزاب المعارضة ، بصرف النظر عن كونها شابة ، لم تكن لديها الخبرة الكافية ، فقد تم العثور على قادتها خارج أنظمة المجتمع الموثوقة بما في ذلك عدم تلبية متطلبات الوقت.


قال ، على سبيل المثال ، إذا كانت تجري تقييمات سياسية أو بحثًا من أعضائها ومجموعات أخرى من الجمهور لمعرفة ما هي الأجندة التي تمثل أولوية في هذا الوقت بين الدستور الجديد والدستور الجديد ، فإن الإحصائيات ستوضح لهم الرقم. أولوية واحدة هي الاقتصاد.


في هذا نذكرهم بالإشارة إلى أصوات الشعب التي أظهرت أولويات الشعب ، وفي ذلك لم يكن الدستور موجودًا ، ذكر الناس المياه والصحة والتعليم والفساد والبنية التحتية والاقتصاد.


وقال إنه بسبب فشل حزب (شديمة) في إجراء البحوث الأساسية التي تتماشى مع احتياجات العصر ، ولهذا السبب وجد نفسه دائمًا يتنافس مع طاقة الرياح مع مرور الوقت ، ولهذا السبب لا يعرف ما إذا كان اقتصاد الناس. هي أولوية ويتبعها الآخرون لاحقًا.


"يركز الحزب الجيد والمركّز دائمًا على البحث المهني ليكون قادرًا على فهم احتياجات الشعب والأمة بالإضافة إلى أفضل طريقة لتلبيتها. إنه في خطر دخول متحف سياسي. قوة الإقناع ليست القدرة على الكلام ولكن القدرة على تلبية احتياجات الوقت بالطريقة الصحيحة ". قال بشك.


قال إن جميع أهدافك وأهدافك وسياساتك وأهدافك عندما تنظر إلى المجتمع هناك حيث تحتاج إلى الوقوف معًا كقادة بينما تكون مستعدًا وواثقًا ومستقلًا فكريًا في منصب واحد يفيد الأغلبية.


بالإضافة إلى ذلك ، قال السكرتير المشارك إن القادة غير الآمنين لن يكونوا قادرين على متابعة أهدافهم الأساسية. لأنهم لا يملكون القلب للتحلي بالصبر والصبر ، لذلك من الصعب جدًا تحمل النزاعات داخل الأطراف التي يقودونها. أحزاب المعارضة لديها قادة من هذا النوع يفتقرون إلى الثقة وهذا هو السبب في أن النزاعات لا تنتهي وتتجمد.


"سمعة CCM هي الاجتهاد والاستعداد والوحدة القوية والصبر والمرونة. لا يمكن لأحد التصرف وتنفيذ أفكاره أو أفكاره دون إيجاد قرار وموقف مشترك. لذا فإن الجلسات أهم من القدرة الشخصية للفرد. دائمًا ما يقرر CCM الأشياء. انه من خلال النظر في احتياجات الغالبية من خلال المنتديات "


قال شاكا إن هذا النوع من القادة الذين يفهمون ذلك ويديرونه لن تجدهم في الأحزاب الأخرى بدلاً من ذلك سيجتمع المجتمع مع مقاتلي السلطة والنبلاء والإدارة ولن ترى القادة أو السياسيين بعناية.


"هناك دول ذات دساتير تسمى دساتير أفضل. والمثير للدهشة أن هذه الدول تعيش في العرق وإطلاق النار والقتال وسفك الدماء من أجل بعضها البعض. كل ذلك لأن السياسيين يقاتلون من أجل السلطة ويسعون للوصول بسهولة إلى السلطة الإدارية. تكبدت تنزانيا تكاليف باهظة للبناء. أسس السلام والوحدة والتضامن التي لدينا اليوم إذا كانت قائمة على دستور متين. فلنعمل الآن معًا ونعمل معًا لبناء الاقتصاد أولاً ". أصر على الشك



🇹🇿🇹🇿تنزانيا.

 SHAKA:革命党是自信且独立的


我们的记者,

达累斯萨拉姆/坦桑尼亚

🇹🇿


革命联盟(CCM)表示,党的领导人和干部的能力来自对公众意愿的准备、自信和了解,以及何时以及如何根据人民面临的挑战满足相关需求。


它还说,一个不尊重其成员、公民和国家意愿的政党将领导人的个人利益置于更广泛的公共利益之上,就像反对派一样,这就是他们与执政党之间的区别所在。党是。


这是CCM全国执行委员会秘书昨天说的。当被问及CCM与反对派是否存在分歧时,意识形态和宣传沙卡Hamdu Shaka说,CCM的领导人和反对派在结构和政策的质量上也存在差异CCM


沙卡说,首先,反对党除了年轻外,经验不足,其领导人被发现在社会可信体系之外,包括不符合时间要求。


他说,例如,如果它正在对其成员和其他公众团体进行政治评估或研究,以找出新宪法和新宪法之间此时优先考虑的议程,那么统计数据将向他们显示数量一个优先事项是经济。


在此,我们提醒他们参考 TWAWEZA 人民的声音,这些声音显示了人民的优先事项,而宪法并不存在,人民提到了水、健康、教育、腐败、基础设施和经济。


他说,由于党(Chadema)未能进行与时代需求并驾齐驱的基础研究,这就是为什么随着时间的推移,它总是发现自己与风电竞争,这就是为什么它不知道人们的经济是一个优先事项,其他人跟随。稍后。


“最好、最勤奋的政党,定期专注于专业研究,了解人民和国家的需求以及满足他们的最佳方式。它有进入政治博物馆的危险。说服的力量是不是说话的能力,而是以正确的方式满足时间需求的能力。”他疑惑的说道。


他说,当你放眼社会时,你的所有目标、目标、政策和目标都需要作为领导者站在一起,同时你准备好、自信且在智力上独立于一个有利于大多数人的职位。


此外,联合秘书表示,缺乏安全感的领导人永远无法实现他们的基本目标。因为他们没有耐心和耐心,所以很难承受他们领导的政党内部的冲突。反对党有这种缺乏信心的领导人,这就是冲突不会结束和停滞的原因。


“CCM的名声是勤奋、准备、团结、耐心和韧性。如果没有找到共同的决定和立场,任何人都无法行动和实施他的想法或想法。因此会议比个人能力更重要。CCM总是决定事情。它通过论坛来观察大多数人的需求”他说


沙卡说,那种理解并管理它的领导者在其他政党中是找不到的,相反,社区将与权力斗士、贵族和政府会面,你不会仔细地看到领导人或政客。


“有些国家的宪法被称为更好的宪法。令人惊讶的是,这些国家在种族、枪战、战斗和流血冲突中互相争斗。这一切都是因为政客们在为权力而战,并寻求轻松获得行政权力。坦桑尼亚付出了高昂的成本。建设如果建立在坚实的宪法基础上,我们今天拥有的和平、团结、团结的基础。让我们现在共同努力,共同建设经济。”他坚持怀疑


🇹🇿🇹🇿

坦桑尼亚

Katibu Mwenezi wa CCM Shaka Hamdu Shaka

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages