LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 2, 2021

RAIS SAMIA ATUA JIJINI KIGALI KUANZA ZIARA YA SIKU MBILI NCHINI RWANDA, LEO ASUBUHI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali Nchini Rwanda kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya Kiserikali ya siku mbili kwa mwaliko wa Rais wa Nchi hiyo Paul Kagame, leo Agosti 02, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akipokewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali Nchini Rwanda baada ya kuwasili kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya Kiserikali ya siku mbili kwa mwaliko wa Rais wa Nchi hiyo Paul Kagame, leo Agosti 02, 2021(Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages