Msavu, Morogoro
Ofisi za Kituo kikubwa cha kupokea na kusambaza umeme katika wilaya za mkoa wa Morogoro na mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Kilimanjaro zimeteketea kwa moto Msamvu, Morogoro muda huu. Tunafanya jitihada kupata taarifa zaidi za tukio ikiwemo chanzo cha moto huo.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇