LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 8, 2021

RAIS SAMIA AAONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI, IKULU DAR ES SALAAM, LEO, ASIMAMA NA MAWAZIRI DAKIKA MOJA KUMKUMBUKA KUANDIKWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo.
-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwaongoza Mawaziri kusimama kwa dakika moja kwa ajili ya kumkumbuka aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Hayati Elias John Kwandikwa kabla ya kuanza Kikao cha Baraza la Mawaziri, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages