LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 7, 2021

MANZIA: MTANGAZAJI STAR TV, RFA AFARIKI DUNIA

 Mtangazaji maarufu wa Radio Free Africa na Star TV, Juma Ahmed Baragaza (JB) amefariki dunia leo Jumamosi Agosti 7, 2021. JB Atakumbukwa zaidi katika vipindi mbalimbali alivyojipatia umaarufu ikiwemo Mambo Mambo na RFA pamoja na Asili ya Mtanzania kupitia Star TV.

Juma Baragaza

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages