LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 19, 2021

MCHAMBUZI NGULI WA HABARI ZA SOKA NCHINI ALEX KASHASHA AFARIKI DUNIA, LEO

Mchambuzi mahiri wa habari za soka hapa nchini Alex Kashasha (Pichani), amefariki dunia mchana huu katika Hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es Salaam, alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu


Mwalimu Kashasha alizaliwa mwaka 1957, mpaka umauti unamkuta alikuwa mfanyakazi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages