LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 1, 2021

MBUNGE WA KALENGA KISWAGA ASHIRIKI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU IRINGA

Mbunge wa Kalenga, Jackson Kiswaga akiupokea Mwenge wa Uhuru wakati wa hafla ya mapokezi yaliyofanyika leo kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari Nyerere, Migori wilayani Iringa. 

Mwenge huo utakaokimbizwa katika wilaya tatu za mkoa huo za Iringa, Kilolo na Mufindi umekabidhiwa leo kwa Mkuu wa Mkoa Iringa, Queen Sendika na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka.

Mbunge wa Kalenga, Jackson Kiswaga akitambulishwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Queen Sendiga.

 
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Steven Mhata akitambulishwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Queen Sendiga.
Mbunge Kiswga akiwa na Mhata Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.


Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages