LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 8, 2021

DKT MABULA AMTEMBELEA MKUU WA MAJESHI MSTAAFU JENERALI MSUGULI BUTIAMA

Mkuu wa majeshi mstaafu, Jenerali mstaafu  David Msuguli akizungmzaq na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo  ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula aliyemtembelea nyumbani kwake Butiama mkoani Mara hivi karibuni baada ya ziara yake ya kikazi mkoani humo.

Dkt. Mabula akiwa na wake wa Jenerali mstaafu Msuguli.
Mabula ambaye pia ni Mbunge wa Ilemela, mkoani Mwanza akikabidhiwa zawadi ya mbuzi na Jenerali mstaafu Msuguli.
Mabula  ambaye amewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Butiama, akiagana na Jenerali mstaafu, Msuguli.


 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages