LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 16, 2021

CHRISTINA MNDEME AMSHUKURU NA KUMPONGEZA RAIS SAMIA KWA KUSIMAMIA VEMA UJENZI WA MIRADI YA KIMKAKATI NCHINI

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Chiristina Mdeme (Pichani), amemshukuru na kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kujenga na kusimamia kwa dhati miradi mbalimbali ya kimkakati hapa nchini, na kuwataka Watanzania kuendelea kumuunga mkono Rais katika kutimiza kwake dhamira yake hiyo njema kwa Watanzania.

Mdeme amesema hayo alipokuwa katia Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo kukagua ujenzi wa Reli ya Treni ya Mwendokasi (SGR) mkoani Morogoro, wiki iliyopita. Mndeme pamoja na kumshukuru na kumpongeza Rais, alizungumza pia mambo kadhaa muhimu. Tafadhali Msikilize
Bofya Hapo👇

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages